322 results found in 0:00:00.000611 sec

sofa seti

Sie ni wale wataalam wa kutengeneza sofa set aina zote

Tsh 650,000


Sofa Bei nafuu at Aug. 10, 2021, 8:41 p.m.



sofa set


Tsh 330,000


Sofa Bei nafuu at Aug. 10, 2021, 8:49 p.m.



sabuni ya Habbatus Sauda (black seed oil)

Sabuni HII ina Vitamini A & Amino Acids ambayo husaidia kuzaliwa upya kwa ngozi.

Inatibu chunusi na kuziondoa kabisa na pia kupunguza makovu na madoa meusi (dark spots).

wenye wekundu uliosababishwa na kuungua kuungua kwa cream au jua hii ni kiboko katika kuzuia na kuondoa tatizo hilo

Tsh 5,000


Olly_natural Products at Aug. 10, 2021, 9:48 p.m.



ALOEVERA NA MANJANO SOAP

Huondoa makovu yaliyosababishwa na chunusi au kuungua jua.

Inafanya ngozi yako iwe laini,nyororo na kupendeza.

inapunguza mafuta yaliyozidi usoni na mwilini

Tsh 5,000


Olly_natural Products at Aug. 10, 2021, 9:51 p.m.



vitanda 5 * 6

karibuni saaana, kwa vitanda vizuri na vya kisasa na kwa bei poaa, 

Kuna ambavyo vipo tayaari pia unaweza kuweka oda tunapatikana Magomeni Usalama.

Tsh 260,000


Vitanda_unique_ ... at Aug. 11, 2021, 10:35 a.m.



mafuta halisi ya alizeti

mafuta halisi ya alizeti

office ipo ubungo maziwa/kibaigwa dodoma

Tsh 25,000


Mafuta halisi ya ALIZETI at Aug. 11, 2021, 10:47 a.m.



MAFUTA MAZURI YA NAZI 250mls

Karibu ujipatie mafuta mazuri ya Nazi Pure isiyo chomwaa, it's cold processed ,no heated .

Kwa ujazo wa 250mils yenye uboraa mazuri na miata wa Afya yako ,pia yenye virutubisho vyotee 100%

Tsh 12,000


stijoh coconut oil at Aug. 11, 2021, 11:02 a.m.



mama simama ginger garlic paste

ni two in one
Ukiwa nayo kwa ajili ya kupikia vyakula inafaa sana na inafaa sana pia kwa wale wenye Presha za kupanda,Ukichukuwa kijiko kimoja ukachanganya na Kijiko kimoja cha abdalasini ya unga na asali kdg unakula asubuhi na Jioni itakusaidia ku balance Presha yako
Inapatikana kwa Mawakala wetu wote

Tsh 75,000


Mama Simama at Aug. 11, 2021, 11:35 a.m.



chai masala

Package mpya ndogo zenye ujazo wa 100grm ziko tayari,bei yake ni Tsh 6,000/- tu
Zinapatikana Posta mpya
0788 016 226
Pia Posta Mpya na Ubungo,Kimara
0766 205 606
Kinondoni Biafra SS Supermarket
067 899 9464
Sinza Afrika Sana - Asenga Shop
0716 318 160

Tsh 6,000


Mama Simama at Aug. 11, 2021, 11:43 a.m.



podah lishe

podah lishe ni unga bora wa uji unaotumiwa na watu rika zote kuanzia mwaka mmoja.

1. mbegu za maboga

2. mahindi lishe

3. ulezi

4. mchele

Tsh 4,000


PODAH LISHE at Aug. 11, 2021, 11:55 a.m.