Viungo vizuri kwa matumizi ya chakula majumbani kama vile tangawizi,tea masala,pilipili pamoja na viungo vya pilau vyenye kunukia na ladaha nzuri
Mashuka aina mbalimbali na mazuri kwa muonekano pia tunatengeneza mabegi ya kushona aina,zote
Peanut butter nzuri kwa matumizi yote ya mapishi kwenye mboga, labda kwenye mikate pamoja na uji
Wauzaji na wasambazaji wa sabuni za usafi pamoja na dawa za chooni kwa jumla na rejareja Bei zetu za reja reja; Product zote Lita 5@9000tsh na Lita 1…
