Sabuni nzuri zenye povu na harufu nzur kwa matumizi ya nyunbani na usafi wa chooni
Viungo vizuri kwa matumizi ya chakula majumbani kama vile tangawizi,tea masala,pilipili pamoja na viungo vya pilau vyenye kunukia na ladaha nzuri
Tunatengeneza na kuuza makapeti ya design mbalimbali.pia tunafundisha kwa anaehitaji kwa mawasiliano zaid
